Ni hali
ambayo hufanya ngozi kuwa nyekundu na kuwasha. Ni hali inayojitokeza sana kwa
watoto lakini huweza kutokea kwenye umri wowote ule. Tatizo hili huwepo kwa
maisha yote ya mtu ama kwa mda mrefu na huweza kuibuka kwenye mda flani na
wakati mwingine dalili zinaweza zikapotea kabisa.
Tatizo
hili linaweza kuambatana na pumu ya kifua na mafua yamara kwa mara(hay fever)
Hakuna
tiba ponyaji iliyopatikana kwa ajili ya kutibu pumu ya ngozi. Lakini matibabu
ya dalili na kujitunza kwa mtu huweza kupunguza dalili na kuzuia kuibuka ibuka
kwa dalili.
Kwa mfano
mwathirka anatakiwa kuzuia sabuni zenye pafyumu na vikereketa vya ngozi, kuzuia
kutumia sabuni zenye madawa au mafuta na kufanya mambo yanayofanya ngozi iwe
raini
Unatakiwa
kumwona daktari wako endapo dalili unazopata zinakufanya usifanye kazi zako
kama ipasavyo au zinakuzuia kulala
Dalili
Dalili za
pumu ya ngozi hutofautiana kutoka mtu mmoja na mwingine, dalili huwa pamoja na;
- Kuwashwa ngozi, hali inaweza kuwa mbaya zaidi san asana wakati wa usiku
- Kupata mabaka mekundu(kwa watu wenupe) au brauni au meusi sana sana katika viganja, miguu, kisigino, kiwiko cha mkono, kiuno, shingo, juu ya kifua, kope za macho, kwenye maungio ya mikono kwa ndani na ya magoti na kwa watoto kwenye uso na kichwani
- Vipele vidogo vilivoinuka, vinavyoweza kutoa maji maji na kupasuka kama vikikwanguliwa
- Ngozi kuwa nene, iliyochanika, kavu na yenye magamba
- Ngozi kuongezeka hisia, kuvimba inapokwanguliwa
Pumu ya
ngozi mara nyingi huanza kabla ya umri wa miaka 5 na huweza kuendelea hadi
kwenye utoto na utuuzima. Kwa baadhi ya watu unaweza kujitokeza mara kwa mara
na wakati wmingine unaweza kupotea kwa mda
Mambo
yanayofanya pumu ya ngozi kuwa na dalili kali
Watu
wengi wenye pumu ya ngozi wanaambatana kuwa na maambuizi ya ngozi ya bacteria
staphylococcus aureus ambaye hukaa kwenye ngozi. Bacteria huyu hukuwa haraka
endapo ngozi inamichaniko kutokana na kujikwangua na kukiwa na majimaji. Jambo
hili linaweza kufanya mtoto kuwa na dalili kali san asana sana kwa watoto.
Mambo
ambayo yanafanya pumu ya ngozi iwe na dalili kali zaidi ni kama vile
- Ngozi kuwa kavu, inayoweza kutokea endapo mtu anaoga kwa mda mrefu kwenye maji ya moto/uvuguvugu
- Kujikwangua, kunakoweza kufanya ngozi ikachanika
- Maambukizi ya bacteria na virusi
- Msongo wa mawazo
- Jasho
- Kubadilika kwa joto na hali ya hewa
- Madawa ya kuoshea, sabuni na madawa ya kusafisha kwa kukausha(detergents)
- Kuvaa nguo zenye nylon, polyester, mablanket na kapeti n.k
- Vumbi na chavu(polen)
- Kuvuta ugolo na uchafuzi wa hewa
- Mayai, maziwa, karanga, maharagwe ya soya, samaki na ngano, kwa vichanga na watoto
Pumu ya
ngozi inahusishwa na mambo ya alegi. Lakini kuondoa kwa alegi hupunguza kwa
kiasi kidogo tatizo la pumu ya ngozi kutoa dalili. Cha kushangaza vitu
vinavyoweza kutunza/kudaka vumbi kama mto wa manyoya,zuria, godoro, huweza
kusababisha mtu kupata dalili za pumu ya ngozi mara kwa mara.
Wakati
gani wa kumwona daktari?
Huna raha
na unakosa usingizi kwa kujikwangua ama ratiba zako kuharibika
- Ngozi ikiwa inauma
- Unashaka kwamba ngozi yako imepata maambukizi, usaha na kuwa nyekundu)
- Umejaribu kujitibu mwenyewe kwa kuzingatia kanuni lakini hamna matokea mazuri
- Unadhani kwamba hali ya ugonjwa wako imeathiri macho ama kuona kwako
- Kama mwanao akiwa na dalili za pumu mpeleke hsospitali kwa elimu na ushauri pamoja na matibabu
Visababishi vya pumu ya ngozi
Sababu za msingi zinazosababisha pumu ya ngozi
hazijulikani. Ngozi yenye afya huwa na uwezo wa kutunza unyevu na kuzuia dhidi
ya maambukizi ya kwenye ngozi, vikereketa ngozi, n.k. pumu ya ngozi inaonekana
kuambatanan na mambo mengi kama
Ngozi kavu, ngozi inayowasha, ambayo hufanya ngozi
kuwa na uwezo mdogo wa ulinzi kizuizi
Mabadiliko ya geni yanayosababisha ngozi isifanye
kazi kama kinga kizuizi
Mfumo wa kinga wa mwili kutofanya kazi ipasavyo
Bacteria kama styphylococcus aureus ambao hufanya
uzio unaoziba njia za tezi jasho
Hali ya hewa
Vihatarishi
vya pumu ya ngozi
Mambo
yanayomuweka mtu hatarini kupata pumu ya ngozi ni kama vile
- Kuwa na historia katika familia ya pumu ya ngozi, kuwa na alegi, homa ya mafua, au pumu ya kifua
- Kuwa mfanyakazi wa afya ambayo huambatanishwa na pumu ya ngozi kwenye mikono
- Vihatarishi kwa watoto ni kama vile
- Kuishi maeneo ya mjini- sehemu hizi huwa na vikereketa ngozi vingi na uchafuzi wa hewa
- Kuwa mtu mweusi
- Kuw ana wazazi wenye elimu ya juu
- Kuhudhuria kwenye vituo vya kutunzia watoto
- Kuwa na tatizo la kutokuwa makini na utundu (ADHD)
Madhara ya pumu ya ngozi
- Pumu ya kifua na homa ya mafua- pumu ya ngozi maranyingi huanza kuonekana kabla
- Miwasho sugu, ngozi kuwa na mabaka/magamba
- Maambukizi kwenye ngozi
- Matatizo ya macho-macho kuwasha kwenye kope macho kutoa majimaji na michomo kwenye macho
- Kuwasha viganja na mikono
- Kushindwa kulala
- Kubadilika kwa tabia kama kushindwa kulala ama kutokuwa mtulivu ADHD. Tafiti zimeonyesha hivyo
Matibabu na dawa
Pumu ya
ngozi inaweza kuonyesha dalili endelevu, unaweza kuhitajika kujaribu matibabu
mbalimbali kwa miezi ili kuweza kupambana na dalili hizo na hata kama
ukifanikiwa kutibu dalili, zinaweza kujirudia tena.
Ni muhimu
kujijua mapema ili kujitahadhari mapema pia kama pumu ya ngozi inaweza kuamka.
Kama matibabu ya kufanya ngozi iwe laini na matibabu mengine hayawezi
kukusaidia daktari wako anaweza kukushauri juu ya matibabu kama haya
Madawa
Krimu
zinazozuia kuwasha kwa ngozi na michomo. Mafuta ya corticosteroid, ongea na daktari wako
kabla ya kutimia dawa hii. Matumizi yasiyo sahihi ya dawa hii yanaweza
kusababisha ngozi ibadilike rangi, kuwa nyembamba kupata maambukizi na kupata
michirizi.
Krimu
inayoponya ngozi.
Dawa kama
tacrolimus na pimecrolimus hudhuru mfumo wa kinga ya mwili. Ikiwa itawekwa
kwenye ngozi itasaidia kuamsha kinga ya mwili na kusababisha kupona kama kuna
majeraha, kuondoa miwasho na kuzuia kujirudia rudia kwa dalili. Kwa sababu ya
madhara yake mengine dawa hii hutumika kwa watu ambao wameshindwa kupona dalili
kwa njia zingine
Dawa za kupambana
na maradhi/aambukizi
Dawa za
kunywa za kuzuia miwasho
Kama
dephenydramine huweza kusaidia
Madawa ya
kunywa ama kuchoma kuzuia michomo inayotokana na kinga ya mwili kujishambulia kama
corticosteroid- madawa haya yakitumika kwa mda mrefu hushusha kinga ya mwili na
mtu anakuwa hatarini kupata maambukizi
Visababishi
vya pumu ya ngozi
Sababu za
msingi zinazosababisha pumu ya ngozi hazijulikani. Ngozi yenye afya huwa na
uwezo wa kutunza unyevu na kuzuia dhidi ya maambukizi ya kwenye ngozi,
vikereketa ngozi, n.k. pumu ya ngozi inaonekana kuambatanan na mambo mengi kama
Ngozi
kavu, ngozi inayowasha, ambayo hufanya ngozi kuwa na uwezo mdogo wa ulinzi
kizuizi
Mabadiliko
ya geni yanayosababisha ngozi isifanye kazi kama kinga kizuizi
Mfumo wa
kinga wa mwili kutofanya kazi ipasavyo
Bacteria
kama styphylococcus aureus ambao hufanya uzio unaoziba njia za tezi jasho
Hali ya
hewa
Matibabu na
dawa
Pumu ya ngozi inaweza kuonyesha dalili endelevu,
unaweza kuhitajika kujaribu matibabu mbalimbali kwa miezi ili kuweza kupambana
na dalili hizo na hata kama ukifanikiwa kutibu dalili, zinaweza kujirudia tena.
Ni muhimu kujijua mapema ili kujitahadhari mapema
pia kama pumu ya ngozi inaweza kuamka. Kama matibabu ya kufanya ngozi iwe laini
na matibabu mengine hayawezi kukusaidia daktari wako anaweza kukushauri juu ya
matibabu kama haya
Madawa
Krimu zinazozuia kuwasha kwa ngozi na michomo. Mafuta ya corticosteroid, ongea na daktari wako kabla ya kutimia dawa
hii. Matumizi yasiyo sahihi ya dawa hii yanaweza kusababisha ngozi ibadilike
rangi, kuwa nyembamba kupata maambukizi na kupata michirizi.
Krimu inayoponya ngozi.
Dawa kama tacrolimus na pimecrolimus hudhuru mfumo
wa kinga ya mwili. Ikiwa itawekwa kwenye ngozi itasaidia kuamsha kinga ya mwili
na kusababisha kupona kama kuna majeraha, kuondoa miwasho na kuzuia kujirudia
rudia kwa dalili. Kwa sababu ya madhara yake mengine dawa hii hutumika kwa watu
ambao wameshindwa kupona dalili kwa njia zingine
Dawa za kupambana na maradhi/aambukizi
Dawa za kunywa za kuzuia miwasho
Kama dephenydramine huweza kusaidia
Madawa ya kunywa ama kuchoma kuzuia michomo inayotokana na kinga ya mwili kujishambulia kama
corticosteroid- madawa haya yakitumika kwa mda mrefu hushusha kinga ya mwili na
mtu anakuwa hatarini kupata maambukizi
Matibau
ya nyumbani
Nguo
zenye unyevu
Funga
eneo lililoathirika kwa kitambaa/bandeji chenye unyevu ama chenye dawa ya
corticosteroid. Imethibitishwa kuwa na uwezo wa kupambana na dalili kwa masaa
kadhaa hadi masiku. Wakati mwingine hufanyika hospitali kwa sababu matibabu
haya yanahitaji utaalamu, ama unaweza kufundishwa kujitibu mwenyewe nyumbani
Tiba ya
mwanga
Weka
ngozi yako kwenye mwanga asili wa jua.matibabu ya mwango usio asili huweza
kutumika pia, Ingawa matibabu ya mwanga wa jua ya mdamrefu huwa na madhara kama
vile ngozi kuzeeka mapema na kuongezeka kwa hatari ya kupata saratani ya ngozi.
Kwa namna hii matibabu ya mwanga usio asili hutumika kwa watoto wadogo na
vichanga.
Kujitibu
msongo wa mawazo
Kutibu
msongo wa mawazokwa ushauri tiba kwa watu na watoto ambao wanahosia kuhusu hali
zao kunweza kuwasauidia kuondokana na msongo wa mawazo na ugonjwa kuwa mbaya
zaidi
Kupumzika
na kubadili tabia
Kunaweza
kusaidia kuepuka kujikwangua
Pumu yan
ngozi kwa watoto
Huweza
kutibika kwa
·
Kutambua
na kuepusha mtoto na viamsha pumu ya ngozi
·
Kuzuia
joto kupita kiasi(maji ama la nguo)
·
Kumpaka
mtoto mafuata ya Vaseline yasiyo na perfume
Matibabu
mbadala
Madawa megi
ya tiba mbadala yamewasaidia watu kupunguza na kudhibiti dalili za pumu ya
ngozi. Tafiti zimeonyesha watu wengii waliotumia madawa ya kiasili china
yalisaidia kupunguza ngozi kuwasha na kujikuna lakini kwa mda mfupi tu
Vifuatavyo
husaidia kwa namna Fulani
Virutubisho
lishe kama vitamin D na E, zinc, selenium
Mambo
mengine ya kuzingatia kutibu dalili za pumu ya ngozi ni kama vile
- Kutumia nguo za pamba-achana na nguo za nylon ama sil kwani huwa na vikaereketa ngozi
- Matumizi ya mafuta ya vaselini yasiyo na manukato
- Matumizi ya sababuni za vipande zisizo na manukato na zisizokausha ngozi kama kuku n.k sababni hizimara nyingi huwa ni zile za kufulia nguo
- Oga mara tatu kwa siku na jipake mafuta mengi ya Vaseline yasiyo na manukato
- Usitumie vitu vinavyokausha ngozi kama spiriti n.k
Matibabu
mbadala
Madawa
megi ya tiba mbadala yamewasaidia watu kupunguza na kudhibiti dalili za pumu ya
ngozi. Tafiti zimeonyesha watu wengii waliotumia madawa ya kiasili china
yalisaidia kupunguza ngozi kuwasha na kujikuna lakini kwa mda mfupi tu
Vifuatavyo
husaidia kwa namna Fulani
Virutubisho
lishe kama vitamin D na E, zinc, selenium
Mambo
mengine ya kuzingatia kutibu dalili za pumu ya ngozi ni kama vile
·
Kutumia
nguo za pamba-achana na nguo za nylon ama sil kwani huwa na vikaereketa ngozi
·
Matumizi
ya mafuta ya vaselini yasiyo na manukato
·
Matumizi
ya sababuni za vipande zisizo na manukato na zisizokausha ngozi kama kuku n.k
sababni hizimara nyingi huwa ni zile za kufulia nguo
·
Oga mara
tatu kwa siku na jipake mafuta mengi ya Vaseline yasiyo na manukato
·
Usitumie
vitu vinavyokausha ngozi kama spiriti n.k
Matibabu
mbadala
Madawa
megi ya tiba mbadala yamewasaidia watu kupunguza na kudhibiti dalili za pumu ya
ngozi. Tafiti zimeonyesha watu wengii waliotumia madawa ya kiasili china
yalisaidia kupunguza ngozi kuwasha na kujikuna lakini kwa mda mfupi tu
Vifuatavyo
husaidia kwa namna Fulani
Virutubisho
lishe kama vitamin D na E, zinc, selenium
Mambo mengine
ya kuzingatia kutibu dalili za pumu ya ngozi ni kama vile
- Kutumia nguo za pamba-achana na nguo za nylon ama sil kwani huwa na vikaereketa ngozi
- Matumizi ya mafuta ya vaselini yasiyo na manukato
- Matumizi ya sababuni za vipande zisizo na manukato na zisizokausha ngozi kama kuku n.k sababni hizimara nyingi huwa ni zile za kufulia nguo
- Oga mara tatu kwa siku na jipake mafuta mengi ya Vaseline yasiyo na manukato
- Usitumie vitu vinavyokausha ngozi kama spiriti n.k
Matibau
ya nyumbani
Nguo
zenye unyevu
Funga
eneo lilloathirika kwa kitambaa/bandeji chenye unyevu ama chenye dawa ya
corticosteroid. Imethibitishwa kuwa na uwezo wa kupambana na dalili kwa masaa
kadhaa hadi masiku. Wakati mwingine hufanyika hospitali kwa sababu matibabu
haya yanahitaji utaalamu, ama unaweza kufundishwa kujitibu mwenyewe nyumbani
Tiba ya
mwanga
Weka
ngozi yako kwenye mwanga asili wa jua.matibabu ya mwango usio asili huweza
kutumika pia, Ingawa matibabu ya mwanga wa jua ya mdamrefu huwa na madhara kama
vile ngozi kuzeeka mapema na kuongezeka kwa hatari ya kupata saratani ya ngozi.
Kwa namna hii matibabu ya mwanga usio asili hutumika kwa watoto wadogo na
vichanga.
Kujitibu
msongo wa mawazo
Kutibu
msongo wa mawazokwa ushauri tiba kwa watu na watoto ambao wanahosia kuhusu hali
zao kunweza kuwasauidia kuondokana na msongo wa mawazo na ugonjwa kuwa mbaya
zaidi
Kupumzika
na kubadili tabia
Kunaweza
kusaidia kuepuka kujikwangua
Pumu yan
ngozi kwa watoto
Huweza
kutibika kwa
- Kutambua na kuepusha mtoto na viamsha pumu ya ngozi
- Kuzuia joto kupita kiasi(maji ama la nguo)
- Kumpaka mtoto mafuata ya Vaseline yasiyo na perfume
No comments