JOJO LISHE SURUHISHO LA WATOTO WASIOPENDA KULA





Jojolishe ni unga wenye mchangnyiko wa mahindi lishe, viazi lishe, mbegu za maboga na mchicha nafaka.

Unga huu hauna GLUTEN,kama unga mwingine wa mahindi ya kawaida,ulezi na ngano.GLUTEN noi aina ya protein ambayo huwa inatabia ya kusababisha matatizo ya tumbo mfano kuharisha,chango,kujaa gas tumboni.

Unga huu una nafaka zenye virutubisho vingi kama wanga, vitamin A, mafuta, protin na madini ya calcium.
Mchanganyiko wake huleta hamu ya kula kwa mtoto, huongeza uzito na kufanya mwili uwe na afya bora.
Unga unatumiwa na watoto kuanzia miezi 6, wajawazito, wagonjwa, wazee na lika zote.

VIRUTUBISHO GANI MUHIMU VINAPATIKANA KWENYE UNGA HUU
katika kuangalia virutubisho gani vimo ndani yake tuangalie kwanza nafaka na vitu vingine vilivyochanganywa kwenye unga huu.




1.MCHICHA NAFAKA(GRAIN AMARANTH)
mojawapo ya kiungo kilichomo kwenye unga huu ni mbegu za mchicha nafaka ambao ndani yake una virutubisho vifuatavyo


Kikombe kimoja cha mbegu hizi kimesheheni:
  • Calories: 251
  • Protein: 9.3 grams
  • Carbs: 46 grams
  • Fat: 5.2 grams
  • Manganese: 105% of the RDI
  • Magnesium: 40% of the RDI
  • Phosphorus: 36% of the RDI
  • Iron: 29% of the RDI
  • Selenium: 19% of the RDI
  • Copper: 18% of the RDI

 Mbegu hizi zina Ant oxidants ambazo zinasaidia kuzuia seli kufa kutokana na radikali huru,pia kusaidia kuzalisha seli mpya,zinazojulikana kama phenolic acids
Mbegu hizi hazina protini inayojulikana kama GLUTEN ilivyo kwenye ngano na ulezi,ambayo husababisha matatizo ya tumbo kama kuhara,chango na tumbo kujaa gas kwa watoto 
Pia selenium inayopatikana humu inasaidia kuimarisha afya ya ubongo.

 

2.SWEET CORN (MAHINDI YA NJANO)
Mahindi haya nayo pia hayana GLUTEN hivyo  ni mazuri kuliko mahindi ya kawaida hivyo haiwezi kumpelekea mtoto kupata matatizo ya tumbo unapomuanzishia lishe hii.
 Pia mahindi haya yana Vitamin A kwa wingi ambayo ni nzuri kwa afya ya macho ya mtoto.

3.MBEGU ZA MABOGA
Mbegu za maboga mbali na kuwa na virutubisho vingi kama mchicha nafasi zina Virutubisho vya omega 3 na omega 6 ambavyo ni muhimu kwa afya ya ubongo wa mtoto.na ukuaji.

4.VIAZI LISHE
VIazi lishe hivi vina virutubisho vingi kama protini,lycopene,vitamin A,carbohydrate na folate

Unga huu unaweza kutumika kwa watotot wenye umri wa miezi 6 kuendelea, pia unga huu unaweza kutumiwa na wazee, na watu wanaoumwa kwa muda mrefu. Pia uanaweza kutumika kwa watu wanaopunguza uzito kwani unasaidia kupunguza lehemu mwilini.


KWA MAHITAJI YA UNGA HUU WASILIANA NA 


 0672 221295- JOJO PRODUCT





No comments