UZAZI WA MPANGO
Hakuna
kitu kizuri duniani kama mtoto, kuwa na mtoto wako ni kitu kizuri sana.
Ila ni muhimu sana mtoto akija wakati muafaka na muda muafaka sio
inakuwa surprise… Yes kuna surprise nzuri, ila surprise ya mimba wakati
una kichanga cha miezi sita, duh! Hiyo ni balaa.
Kwa nini ukumbwe na balaa wakati kuna njia rahisi ya kujipanga. Inafahamika zaidi kama nyota ya kijani, kwa ufupi ni uzazi wa mpango, hii inahusu walio kwenye ndoa na wasio kwenye ndoa, walianza kuzaa na ambao bado hawajaanza.
Lazima wote tujipange, mtoto wa kwanza aje lini, wa pili aje lini na namba ya mwisho ni ngapi? Ni rahisi ukizijua njia za uzazi wa mpango!

NJIA ZA UZAZI WA MPANGO NI NINI??
Njia za
uzazi wa mpango ni njia zinazopelekea kuchelewa, kutoa muda au kuzuia
mimba. Kuna njia nyingi ambazo ni kwa wanawake na nyingine ni kwa
wanaume.
Kwa ujumla kuna njia za aina mbili, barrier methods aka vizuizi na hormonal methods.
Tofauti kubwa kati ya barrie methods na hormonal methods ni jinsi zinavyofanya kazi. Barrier methods zinazuia yai na mbegu zisikutane kabisa au kuzuia mimba isitunge bila kutumia dawa yeyote, hizi ni kama kondom, kitanzi kisicho na dawa na njia za asili kama kuhesabu siku. Njia hizi ni nzuri sana kwani hamna kemikali inayoingia mwilini wala hormons zako hazibadilishwi ili kuzuia mimba.
Njia za madawa au hormonies ni zile zinazobalidisha hormonies za mwanamke au mwanaume kuzuia mimba kutungwa au kupandikizwa na hivyo kutumia aina Fulani ya dawa. Mara nyingi huwa zinafanya kazi kwa kuudanganya mwili wako juu ya kinachoendelea au kuzuia mayai yasipevuke au kuzuia mazingira ya mimba kupandikizwa.
Kuchagua njia za kutumia ni kazi si lele mama, maana si kila njia inamfaa kila mwanamke. Mfano, mtu msahaulifusahaulifu hafai kutumia vidonge. Hapa nakupa mwangaza tu kidogo, ila ili kuamua njia nzuri itakayokufaa ni vizuri zaidi ukionana na wataalam.

KUMWAGA MBEGU NJE
Hapa mwanaume anaotoa uume wake kutoka kwenye uke kabla ya kumwaga shahawa au kukojoa.
Uwezo wa kuzuia mimba: 72%
Uwezo wa kuzuia mimba: 72%
Uzuri
|
Ubaya
|
NJIA YA KALENDA(KUHESABU SIKU).
Hapa mnaamua
kufanya mapenzi kutegemea siku za ovulation za mwanamke, kwa kutofanya
mapenzi siku za hatari. Yai la mwanamke linapevuka (ovulate) kuanzia
siku 10-18 tangu kuanza kwa hedhi yake.
Mahesabu yake sio magumu sana kwa mtu mwenye siku zinazoeleweka, labda mtu mzunguko wako ni siku 32 kila mwezi na haibadiliki, basi ni rahisi kuifata njia hii.
Kama siku zako hazibadilikibadiliki, unatakiwa uzigawe kwa tatu kuanzia siku ya kwanza ya period. Tukitumia huohuo mfano wa siku 32 gawanya kwa tat ni siku siku kumi kasoro mbili. So toka siku ya kwanza ya period hadi ya kumi ni safe days. Siku ya 11 hadi ya 22 ni danger (tumeziongezea zile mbili hapa, better safe than sorry) ya 23 hadi 32 ni safe pia. So unajipanga hivyohivyo kwa kuangalia mzunguko wako.
Kama siku zinabadilikabadilika unahesabu siku ya kwanza ya period hadi siku ya kumi ni safe, then siku kumi zinazofuata ni danger, then zilizobaki hadi period ijayo ni safe. Hapo unakuwa uko safe kabisa.
Uwezo wa kuzuia mimba: 76%

CONDOM
Hii ni njia
common sana kwa wapenzi wanaotaka kuzuia vitu vingi zaidi ya mimba tu,
kwani ni njia pekee ya uzazi wa mpando inayokinga maambukizi ya STIs
&STDs pamoja na VVU. Condom ni barrier method as inazuia mbegu
kuingia ndani.
Uwezo wa kuzuia mimba: 86%
Uwezo wa kuzuia mimba: 86%
Uzuri
|
Ubaya
|
VIDONGe
Vidonge huwa na dawa ambazo zina vichocheo vinavyozuia yai kutoka kwenye ovary.
Uwezo wa kuzuia mimba: 95%
Uwezo wa kuzuia mimba: 95%
Uzuri
|
Ubaya
|
SINDANO
Sindano huwa na dawa ambazo zina vichocheo vinavyozuia yai kutoka kwenye ovary.
Uwezo wa kuzuia mimba: 99%
Uwezo wa kuzuia mimba: 99%
Uzuri
|
Ubaya
|
VIJITI AKA VIPANDIKIZI
Hivi ni
vijiti vyembamba vidogo vinavyowekwa kwenye sehemu ya juu ya mkono wa
mwanamke kwa njia ya upasuaji mdogo. Vijiti vina kichocheo kinachozuia
kupevuka kwa yai.
Uwezo wa kuzuia mimba: 99%
Uwezo wa kuzuia mimba: 99%
Uzuri
|
Ubaya
|
KITANZI
Hiki ni kitu
kidogo kilichotengenezwa kwa aina maalumu ya plastiki ambacho huwekwa
kwa utaalamu ndani ya mfuko wa uzazi. Kinaweza kufanya kazi hadi miaka
10.
Uwezo wa kuzuia mimba: 99%
Uwezo wa kuzuia mimba: 99%
Uzuri
|
Ubaya
|
KUFUNGA KIZAZI
Ni upasuaji wa kuziba mirija ya kupitisha mayai (kwa mwanamke) au au ya kupita mbegu (kwa mwanaume). Kwa sababu hii njia ni permanent uwe na uhakika na uamuzi wako maana hapa ukishafanya hakuna kurudi nyuma.
Uwezo wa kuzuia mimba: 99%
Uwezo wa kuzuia mimba: 99%
Uzuri
|
Ubaya
|
EMERGENCY CONTRACEPTION
Hii ni the morning after pill.
Bahati mbaya ikitokea ukajikuta umefanya la kufany a na hujatumia njia
yeyote ya kujikinga na mimba. Unakuja kugutukia ushatenda tena,
ufanyeje?
Hapa ndio inaingia hiyo the morning after pill. Vidonge hivi vinasaidia kujizuia na mimba vikinywewa hadi siku ya tano baadaya kufanya ngono zembe. The earlier the pill is taken the better, unavyozidi kuchalewa ndio uwezekano wa kufanya kazi unapopungua kwani vidonge hivi havitatoa mimba iliyokwishatungwa.
Pia vinatumiaka kwa watu waliobakwa, maana kwa kweli kutokana na tendo lenyewe kuwa la kikatili kuongezea kubaki na mtoto wa mbakaji ni mbaya zaidi, so vidonge hivi pia huwa vinatolewa kwa mtu aliyebakwa ili kuzuia asipate mimba ya mbakaji.

No comments