Chia seeds ni mojawapo ya vyakula vyenye kiwango kikubwa cha virutubisho.Mbegu za chia zina virutubisho mbali mbali ambavyo ni muhimu kwa afya ya mwili na ubongo. Mwili ni rahisi kupata virutubisho vyote vilivyomo katika mbegu hizi kwani zinameng'enywa kwa urahisi sana.
HISTORIA YA CHIA SEEDS
Mbegu hizi zinatokana na mmea unaojulikana kitaalam kama SALVIA HISPANICA, mmea huu unapatika sana Amerika ya kusini japo siku za hivi karibuni zao hili linalimwa hapa nchini Tanzania mikoa ya Morogoro na Karagwe(Kagera).
Mbegu hizi tokea zamani zimekua zikitumiwa kama chakula na dawa ya magonjwa mbalimbali na makabila ya AZTECS na Mayans yote kutoka Amerika ya kusini. Chia ni neno la Lugha ya Wa AZTEC likiwa na maana ya nguvu. Inasemekana kwamba kijiko kimoja cha mbegu za chia zilikuwa zinaweza kuwafanya watu kukaa masaa 24 bila kuhitaji chakula kingine,hivyo zao hili lilikua likitumika sana kwa askari ili kuwasaidia kuwapa nguvu na kustahimili magonjwa mbali mbali.
VIRUTUBISHO VILIVYO NDANI YA MBEGU ZA CHIA
Sababu ya mbegu kuwa na umuhimu katika afya ya mwili ni kutokana na kiwango kikubwa cha virutubisho vilivyomo ndani yake. Mbegu hizi zina kiwango kikubwa cha omega- 3, Vitamini,proteini na madini.
Gram 28 za chia zinakua na virutubisho katika kiwango kifuatacho
FIBER- 39 gm
PROTINI- 14 gm
MAFUTA- 32GM (18 gm ikiwa ni Omega 3, na 6gm Omega 6)
MADINI KWA KIWANGO KINACHOHITAJIKA KWA SIKU
Calcium- 64%
Manganese- 107%
Magnesium-107%
Phosphorous - 96%
Pia mbegu hizi zina Vitamin A,B,D na E, Madini joto kama Iron,Iodine,niacine, thymine na kemikali za kulinda mwili ( antoxidants)
FAIDA ZA CHIA SEEDS KIAFYA
Tafiti zinaonesa kwamba unapotumia mbegu hizi mara kwa mara inaweza kuimarisha afya ya mwili wako na kukukinga na magonjwa mbalimbali.
Zifuatazo ni faida za matumizi ya mbegu hizi.
1.KULAINISHA NGOZI NA KUPUNGUZA DALILI ZA UZEE (SKIN AND AGING)
Tafiti zinaonesha kwamba ndani ya mbegu hizi kuna kemikali zinazosaidia kupunguza makali ya radikali huru (free radicals) zinazotengenezwa mwilini mwetu na kuleta matatizo mbali mbali kwenye ngozi.Kemikali hizi zinajulikana kama phenolic ant oxidants.Na kulingana na tafiti Mbegu za chia ndo chakula chenye ant oxidants nyingi kuliko vyakula vingine.
Soma makala ya utafiti huu hapa: UTAFITI KUHUSU MBEGU ZA CHIA
ANTOXIDANTS zinasaidia kutengeneza seli mpya za ngozi na kuondoa zile zilizokufa hivyo kuzuia ngozi kuharibika na kuwa na makunyanzi,Pia kutumia mbegu hizi inasadia kuepusha seli za ngozi kufa kabla ya muda wake kutokana na magonjwa.
2.MFUMO WA KUMENG'ENYA CHAKULA (Digestive system)
Mbegu za chia zina kiwango kikubwa cha Fibers. Kwa kijiko kimoja unapata 11gram za fibers.Kama tunavyojua fibers zinasaidia sana katika kumeng'enya chakula.
Pia Taasis ya Ugonjwa wa kisukari nchini marekani (AMERICAN DIABETIC ASSOSIATION), Na shirika la afya nchini Uingereza (NATIONAL HEALTH INSTITUTE) wanasema kuwa mbegu za chia zinasaidia kubalance kiwango cha sukari mwilini hivyo zina faida kwa wagonjwa wa kisukari.Kutokana na kiwango kikubwa cha fibers ambazo zinasaidia kongosho kuzalisha Insulin ya kutosha.
Mbegu hizi zina LINELONIC ACID ambayo inausaidia mwili kufyonza VITAMIN A,B,D na E kutoka kwenye vyakula.
Fibers pia zinasaidia kuimarisha kuta za utumbo Hivyo kusaidia kuondoa tatizo la kukosa choo au kupata choo kigumu sana (Constipation).
Mbegu hizi zinasaidia kupunguza uzito kwa watu wenye uzito uliopita kiasi kwani tafiti zinaonesha kwamba mbegu hizi ziwapo tumboni husharabu maji na kuvimba hvyo kumfanya mtu ajisikie ameshiba ndo maana tafiti zinasema mbegu za chia ni nzuri kuondoa njaa ( hunger suppresser) hivyo nzuri kwa watu walio katika program ya kupunguza uzito ( Diet)
Soma makala ya utafiti hapa : MBEGU ZA CHIA NA KUPUNGUZA UZITO
Pia mbegu hizi zinapovunjwavunjwa hutengeneza kitu kama mafuta (gel) kinachosaidia kukua kwa wadudu wanaosaidia kumeng'enya chakula waliopo tumboni (prebiotic)
3.AFYA YA MOYO
Mbegu za chia zinasaidia mwili kubalance kiwango cha Lehemu (cholesterol) na kupunguza hatari ya mtu kupata tatizo la mishipa ya damu kujaa mafuta(Atherosclerosis) na kupelekea tatizo la shinikizo la damu kuwa juu, Hivyo mbegu hizi ni muhimu katika kuimarisha afya ya Moyo na kuondoa hatari ya kupata Tatizo la shinikizo la damu kuwa juu.
Hii ni sehemu ya majibu ya utafiti kuhusu Mbegu za Chia na matatizo ya moyo:
The available human and non-human studies show possible effectiveness for allergies, angina, athletic performance enhancement, cancer, coronary heart disease (CHD), heart attack, hormonal/endocrine disorders, hyperlipidemia, hypertension, stroke, and vasodilatation. Some evidence also suggests possible anticoagulant, antioxidant, and antiviral effects of Salvia hispanica.
4.AFYA YA UBONGO
Chia seeds zina kiwango kikubwa cha Omega -3 na Omega- 6 Fatty acids ambazo ni muhimu sana katika kusaidia ubongo kutengeneza seli zake. Virutubisho hivi ni muhimu sana kwa watoto.chia ni mmea pekee wenye virutubisho hivi.
5.KUTIBU NA KUKINGA KUPATA UGONJWA WA KISUKARI
Watafiti kutoka chuo -University of Litoral,Argentina katika utafiti wao waliona kuwa Mbegu hizi zina Alpha Linolenic acid na Fibers nyingi,vitu hivi vinasaidia kupunguza mafuta kwenye damu(excessive fat in the blood) na kuzuia tatizo la mwili kushindwa kutumia Hormone ya insulin ( Insulin resistance) hali inayopelekea kisukari aina ya pili (type 2 diabetes ) Soma makala ya utafiti huo iliyochapishwa kwenye jarida la lishe la Uingereza :British Journal of Nutrition
6.KUUPA MWILI NGUVU
Tafiti zilizochapishwa kwenye jarida la Journal of Strength and Conditioning zinasema kuwa matumizi ya mbegu za chia huupa nguvu mwili mara mbili ya jinsi vinywaji vya kuongeza nguvu kama lucozade vinavyoweza kuongeza nguvu ya mwili.
Pia mbegu hizi zinaongeza body metabolism hivyo mwili unatumia mafuta kama chanzo cha nguvu hivyo kusaidia kuondoa kitambi.
7.KUIMARISHA MIFUPA
Kama tulivyoona mbegu hizi ndani yake kuna kiwango kukubwa cha Madini ya calcium hivyo husaidia kuimarisha mifupa,pia husaidia kuwakinga watoto na tatizo la matege.
8.SARATANI YA MATITI NA SHINGO YA KIZAZI
Utafiti unaonesha kuwa Kemikali ya alpha linolenic acid inasaidia kuzuia utengenezwaji wa seli za saratani ya Matiti na saratani ya shingo ya kizazi.Hivyo matumizi ya mbegu hizi husaidia kuwaondoa kina mama katika hatari ya kupata saratani hizi.
soma utafiti huo hapa: Journal of Molecular Biochemistry
9.AFYA YA MENO
Kutokana na kuwa na kiwango kikubwa cha madini ya calcium,phosphorous,vitamin A na zinc mbegu hizi zinasaidia kuimarisha afya ya meno pia.
UJAUZITO
Matumizi ya mbegu hizi wakati wa ujauzito inasaidia kumpatia mama virutubisho muhimu vinavyohitajika kipindi cha ujauzito na muhimu katika ukuaji wa mtoto mfano Omega -3.
JINSI YA KUTUMIA MBEGU HIZI
-Unaweza kuzitafuna mbegu hizi
Unaweza pikia kwenye chakula chako kama mchuzi wa samaki nyama au kuku
- Inafaaa kuchanganya kwenye uji ,maziwa ,juice maziwa mgando, smoothies, fruit salad, vegetable salad etc
- Unaweza nyunyiza juu ya chakula chako wakati wa kula kama wali ndizi supu n.k
- Inafaaa kuchanganya kwenye uji ,maziwa ,juice maziwa mgando, smoothies, fruit salad, vegetable salad etc
- Unaweza nyunyiza juu ya chakula chako wakati wa kula kama wali ndizi supu n.k
Kama unazitumia kwa lengo la kupunguza uzito
Asubuhi kabla ya kula chochote weka vijiko viwili vya chakula kwenye kikombe weka maji ya moto ukipenda kamulia limao. Kunywa mchanganyiko huo. Itakupa nguvu na kukushibisha kunywa chai yako baada ya nusu saaa au zaidi.
Pia kabla ya kula chakula una changanya kijiko kimoja kwenye glass moja ya maji acha itulie kwa nusu saa ndio unywe. au kama unaweza unatafuna kijiko kimoja cha mbegu hizi unatulia nusu saa ndio unakula
KWA WATOTO
Unaweza kumchanganyia mtoto kwenye uji,juice, maziwa nk. pia unaweza kuzisaga mbegu hizi pamoja na viungo vingine vya unga wa lishe au ulezi.
Mbegu hizi kwa sasa zinapatikana hapa nchini kwetu.endapo unahitaji mbegu hizi na hujui wapi pa kuzipata wasiliana na namba hii 0762167811 au 0719431888 utaelekezwa wapi unaweza kuzipata.
asante sana
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteBlogger samahan kama unahitaji La kupata Chia nyingi Tuwasiliane bei ni nafuu sana 0764380043
ReplyDeleteUnauzaje
DeleteLuiza Mkude.habari yako. Chia seeds inapatikana na bei hizi. Nusu kilo Tsh 10000. Na 1klg kwa TSH 20,000. Kwa mteja anae chukua kuanzia 10klg atapata punguzo la 20% kwa mawasiliano 0718303400.
DeleteKama unataka chia seeds kwa jumla na leja leja utapata.
DeleteWasiliana nasi kwa cm no 0718303400.na 0692944354.
E-mail. simonpetroc@gmail.com.
Karibuni
Nice, Kama Hiyo packet Imeuzwa shilingi ngapi
ReplyDeleteZipo Kwa bei nafuu na tunatuma popote ulipo: 0688930177
DeleteThank very much
ReplyDeleteBy nugget development in tz
DeleteBy nugget development in tz
DeleteThank very much
ReplyDeleteAsante kwa elimu nzuri naanza kuwa mtumiaji leo leo. Ubarikiwe
ReplyDeleteMimi ninazo hizi mbegu anayehitaji anichek 0769676283
ReplyDeletePrice per kg pls.
Delete20,000
DeleteAhsante Sana,mm nimeanza kutumia acha nione matokeo,nimeelewa vyema maelezo
ReplyDeleteKaribuni mimi nauza chia pia kwa bei nafuu. 0757 384 405
ReplyDeletekwa watakao hitaji wanicheki kg moja nauza elf 16 kwa dar es salaam popote unaletewa
ReplyDeleteMm mahitaji Chia seed je? Bado unauza? Kg.sh. ngapi?
DeleteMimi naitwa Philomena mnyambo Niko mwanza katika chuo kikuu bugando ninazo chia tani 4 nauza jumla na leja leja kilo TSH 11000 kwa atakae hitaji 0685806500
DeleteApa mwanza mwapatikana wapi?
ReplyDeleteTunapatikana Nyegezi stendi kituo kinacho fata password ndipo kituo cha afya kitwacho FARAJA NATURAL SANITARIUM CLINIC unaweza pata hapo kwa bei poa kabisa .
DeleteKwamawasiliano zaidi
0753389174
0756625871
Pia zipo luchelele CCM mwanzoni kabisa kabla ya senta ya kwanza ya luchelele maelezo zaidi nipigie 0753322566,au 0625966250 kwa bei poaaaaaa sana barikiwa
DeleteNnazo mbegu za Chia kwa wakazi wa kahama.12000@ kg. Waweza Nichek kwa 0755769784/0652973010
ReplyDeleteWALE WA DAR ES SALAAM FANYA HARAKA KUNITAFUTA KWENYE NAMBA 0766 652 384 KABLA MZIGO HAUJAISHA............. MBEGU NZURI SANAAAAAAAAA...... BEI KITONGAAAAA KABISAA
ReplyDeleteKwawale walioko DAR ES SALAAM napatika hapa DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY (DIT).
ReplyDeleteKwa mawasiliano zaidi
0756625871
Karibu Sana usaidie afya yakoyako,familia ,marafiki na ndugu.
Nipo kibaha napataje?
ReplyDeleteMoshi,Dar,Arusha,mbeya Fanya kuniinbox bei poa kabisa 0756377940.
ReplyDeleteMPIGIE HUYU DADA 0622724242 ATAKULETEA ANAUZA KG 1@15000
ReplyDeleteNA KWA WANAOHITAJI NIPO DODOMA ILHAM 0713 626060 KG 1@15,000 KARIBUNI
ReplyDeleteAsante ilham nakuja.
DeleteMPIGIE HUYU DADA YUPO KIBAHA 0622724242
ReplyDeleteKWA KWELI NI ELIMU NZURI SANA ASANTE KWA UTAFITI HUU
ReplyDeleteNimepa elimu ya kutosha
ReplyDeleteje unaweza tumia chia seeds kwa maji ya baridi?
ReplyDeleteDr kwa nn unasema uweke kwenye glass ukae nusu saa ndio unywe?
ReplyDeleteMfano nikiziweka kwenye glasi nikachanganya kwa haraka na maji baridi kabla hazijaanza kuvimba na kuteleza nikazinya haraka haraka, hii inakuwaje?
Na kikitumia 3 table spoon per once inakuaje?
Na nikizila/ kunywa robo saa baada ya dinner inakuaje?
Pote zikiwa kwenye cold water...
Mm ninazo mbegu za chia nauza kwa bei ya jumla sh. 13000 @ Kilogram na rejareja sh. 15000 @ Kilogram. Nipo Kahama Town ukihitaji unatumiwa kokote ulipo.napatikana kwa no. 0652973010.
ReplyDeleteKaribuni sana mbegu hizi no nzuri sana kwa afya mm pia nazitumia zimenisaidia mengi kiafya.
If you are already to get chia seed my contacts WhatsApp 0622791921 or filimeusfilibert@yahoo.com or in Facebook philimeus philibert or 0767336736 iam living in karagwe
ReplyDeleteNikihitaji kwaajili ya kuuza yaani biashara inakuwaje?
ReplyDeleteKaribu jumla nauza sh.6000 kuanzia kg 20 0744250786
DeleteInapatikana jumla na leja leja Kwa bei nafuu na tunatuma popote ulipo.0688930177
ReplyDeleteNi wakulima na wauzaji wa organic chia seeds kutoka Karagwe mkoani Kagera,Bei zetu ni sh 7000 kwa kilo bei ya jumla kuanzia kilo tano na iwapo mteja atachukua kuanzia kilo hamsini bei ni sh 5000 kwa kilo.Pia tuna package zenye brand yetu ambapo kwa kilo moja utaupata kwa bei ya sh 10,000 tu.KARIBUNI SANA.Tunafanya derivery mikoa yote Tanzania kwa uaminifu mkubwa.
ReplyDeleteCall/sms 0625982053
WhatsApp 0755831839
Xor waweza 2mia hz mbegu ukiwa kwenye doz i mean ukiwa una2mia daw za kawaida?
ReplyDeleteThank you for the information.
ReplyDeleteMatokeo mazuri unaanza kuyaona baada ya muda gani?
ReplyDeleteNauza chia pia niko bunju dar es salaam 0712525926
ReplyDeleteMbegu za CHIA seed zipo Kwa wingi Kwa shilingi 12000 Kwa rejareja alafu Kwa jumla 10000 Kwa kilo Kwa wakazi Wa MWANZA, sengerema, magu na geita na watakao taka wakiwa nje ya mkoa Wa MWANZA watasafilishiwa bidhaa zao Kwa usafili Wa mabasi,kwawanao hitaji piga kupitia Namba 0767796033,0784796033
ReplyDeleteTAHADHARI!! Kwanza asanteni kwa mnaotangaza bidhaa yenu ya chia lakini changamoto inakuja kwenye usafi wa hyo chia na Quality..binafsi nlipata sana shida maana nlikuwa nkipata chia nzur kwa macho ila ukila ni mchanga na taka kbao..now nmempata kijana anaeuza iliyo safi kabisa ile nyeusi mcheki kama ukihitaji 0768652456
ReplyDeleteMatokeo ya utumiaji wa mbegu hizi unayapata baada ya muda gani
ReplyDeleteKwa mteja anaitaji dar zinapatikana kwa bei poa! Wasiliana nasi kwa namba hii (0755918467).
ReplyDeleteKwa mteja anaitaji dar zinapatikana kwa bei poa! Wasiliana nasi kwa namba hii (0755918467).
ReplyDeleteKwa mteja anaehitaji Arusha wasiliana
ReplyDelete0756708095
Bei nafuu na pia punguzo la bei..
mwenye vidonda vya tumbo akitumia atapona?
DeleteUkihitaji chiaseeds rejareja sh.10000 jumla 6000 kuanzia kg 20 npo dar 0744250786
DeleteNipo arush kilo sh. Ngap nhitaji kilo 5
DeleteAhsante kwa elimu. Mimi ndio Kwanza nimejua leo kuhusu chia, lkn baada ya kusoma kwa kina nimeshawishika kutumia. Kwa Zanzibar zinapatikana wapi?
ReplyDeleteKwa wale wa tanga tuwasiliane kwa no hii 0715030769 kwa bie poa sana iwe Ni kwa jumla ama rejareja utapata
ReplyDelete*Tangazo Tangazo*
ReplyDeleteNauza mbegu za chia *Chia seeds* kwa bei rahisi Kama ifuatavyo:
Kuanzia kilo 31 - 1000, Tsh 4000@kilo
Kuanzia 21-30 , Tsh 4500@kilo
Kuanzia 11-20,5000@ kilo
Kuanzia 8-10, 6000@kilo
Kuanzia 4- 7 , 7000@ kilo
Kuanzia kilo 1 hadi 3, 10000@kilo
CHIA ZETU NI SAFI KWA KIWANGO CHA KUFAA KULIWA MOJA KWA MOJA
*gharama za usafiri ni juu ya mteja.*
Nipo Karagwe Kagera Tz
Mawasiliano: 0765454416 au 0622229655
Karibuni sana������
This comment has been removed by the author.
ReplyDeleteMim ni mkulima wa chia nasasa nipo kwenye mavuno atakayehtaji kununua mzigo wote being ni pungufu sana tsh. 6000.note.siuz leja leja.nichek kwa no 0744450579 whatsap pia kwa namba hyoo. Napatikana MULEBA mkoa wa kagera. Ahsante
ReplyDeleteKwa wale walioko mkoa wa Njombe chia seed ninayo kwa bei ya jumla na reja reja
ReplyDeleteMawasiliano 0754825325 ,0677825327 or 88s.mwalongo@gmail.com
ReplyDeleteChia seeds Safi ninazo jumla sh.6000 tu kuanzia kg 20 rejareja 10000 npo dar namplkea mteja mpaka alipo 0744250786
ReplyDeleteNipo arusha na nahitaji kilo 5 itakuwaje
DeleteKwa wanaohitaji mbegu za mlonge zinapatikana wasiliana nasi kwa namba 0752284510
ReplyDeletesamahani nina mbegu za chia kama kilo mbili hivi ambavyo nauza, any one interested plz dm me 0790188377
ReplyDelete