Watu wengi Kulingana na shauri mbali mbali wanafikiri kwamba wekundu wa nyama ndio tafsiri ya ubaya wa nyama. Ile neno rangi nyekundu Na Weupe wa nyama ndio nyama salama kitu ambacho sio kweli.
Wekundu wa nyama unatokana na misuli kuwa na kiwango kikubwa cha myoglobin ambayo huwezesha misuli ya wanyama kutengeneza nishati ya kutosha. Mnyama akiwa na myoglobin nyingi tafsiri yake nature ya shughuli za mnyama huyo zinahitaji nishati nyingi. Linganisha Ng'ombe na samaki anayeshinda anaogolea. Ng'ombe ana myoglobin nyingi kuliko samaki. Wekundu wa nyama sio Ubaya wa nyama ni SIFA YA MUHIMU YA KIUMBE KUWEZESHA MNYAMA KUISHI.
.
Hakuna sehemu Yoyote na Tafiti yoyote duniani iliyo onesha kwamba Ukila Nyama tupu nyekundu kwa miaka kadhaa utapata kansa ya Utumbo mpana. Tafiti zinazo tuhumu nyama kuleta kansa ni tamko la WHO ambapo tafiti hizo zilifanywa kwa panya waliolishwa soseji za damu na nyama za kuku baada ya panya hao kuchomwa sindano zinazo sababisha kansa kwanza inaitwa Azoxymethane. Mbali na kwamba sindano ilileta mkanganyiko kwenye Majibu, kwa sababu huwezi mchoma panya sindano inayosababisha kansa halafu ukamlisha panya soseji za damu halafu ukasema kilicho sababisha kansa ni Soseji za damu, kwa nini isiwe ile sindano inayoleta kansa?
.
Tafiti hizo zina Utata mkubwa sana ndio maana Shirika la afya WHO lilipokuwa linaaangalia ushahidi huo katika tafiti 800 walizokusanya zinatuhumu nyama na kansa. Ni tafiti 6 tu kati ya 800 ndio angalau ziliwashawishi na zote zilifanywa kwa panya baada ya panya kuwachoma kwanza sindano zinazo sababisha kansa inaitwa Azoxymethane. Wewe ingia Google andika "Azoxymethane" utaona "Cancer initiator".
KWA NINI NYAMA INATUHUMIWA KULETA MARADHI KWA WATUMIAJI
.
Watu wengi wanatuhumu nyama nyekundu mbaya kwamba inatokana na wanyama wanaochomwa sindano na sindano hizo zinaweza kuathiri afya ya mwanadamu. Ukweli ni kwamba kwa Ulimwengu wa sasa kila kitu ni HATARISHI yaani Kinatishia afya yako.
.
Tizama mahindi unayokula sasa, sio mahindi ambayo yalikuwa yanarefuka na kuvunwa mara mbili kwa mwaka. Mahindi ya dona Yanapigwa dawa kwenye Ghala miaka hata 2 ili yasishambuliwe na dumuzi kabla hajaenda sokoni kwa bei nzuri. Mashineni hakuna Kuosha na kibaya zaidi baadhi ya dawa za Kuua wadudu huwa zinakuwa sehemu ya mmea hata ukiosha unajisumbua.
Swala hapa sio Kutuhumu nyama wala nafaka au mboga za majani kuingiliwa na teknolojia. Hapa ni kutenga Muda ujifunze jinsi ya Kuchagua Kilicho Chema ni ngumu kubadilisha mfumo kuliko wewe kubadilika na kunusuru afya yako.
.
Nyama Inaweza kutuhumiwa kusababisha maradhi Endapo Ukifanya haya:-
1. Kula nyama sambamba na Ugali, wali, ndizi juisi na soda. Mwili utatumia kwanza wanga na sukari utaacha nyama. Mwili unapenda sukari kuliko mafuta. Hutakiwi kula nyama sambamba na vyakula vyenye uwezo mkubwa wa kupandisha sukari.
2. Nyama Ukala sambamba na Pombe. Hii pia hunenepesha na Kufubaisha ini mapema na Kupata hepatic insulin resistance hatimaye kisukari.
3. Ukila nyama ambayo Umeikaanga kwenye mafuta dhaifu ya mbegu za mimea kama Alizeti, Pamba soya mahindi. Mafuta yanapo ungua hutengeneza Free Radicals (ROS) ambazo hupenya na kuwa sehemu ya nyama. Ulaji wa nyama zilizo kaangwa kwenye mafuta hayo Unajihatarisha kupata Kisukari, Presha, Pumu nk endapo mwili ukilemewa na msongo wa sumu Oxidative stress.
Jitahidi Nyama yako Uchome kwa kutumia mafuta yake yenyewe. Uchome bila kupaka mafuta Ambayo hayapandishi lehemu mbaya mwilini. Nunua nyama inayo jichoma, kaanga nyama kwa mafuta yake yenyewe.
.
Tanzania bado tumejadiliwa kuwa na nyama ya kienyeji ya kutosha. Tunachokosa ni Matumizi sahihi ya Nyama.

No comments