Mama anapomaliza first trimester (miezi 3 ya mwanzo) tumbo linaongezeka ukubwa kutokana na ukuaji wa mtoto. Ukuaji wa mtoto unadhiri pisition ya ulalaji wa mama,hivyo mama anashauriwa mimba ikifika miezi 4 (wiki 16)asilalie tumbo au mgongo.
MAMA ASILALIE TUMBO AU MGONGO
Kulalia mgongo sio vizuri kwa sababu uzito wa mtoto unazuia baadhi ya mishipa ya mgongoni inayosafirisha damu kutoka kwenye uti wa mgongo kwenda kichwani,na kutoka miguuni kuja kichwani kushindwa kusafirisha damu vizuri na kunabadili mfumo wa mzunguko wa damu unaoweza kumuadhiri mama au mtoto.
No comments