USICHOKIJUWA KUHUSU MARADHI YA KIUNGULIA
Kiingulia ni acidity iliyozidi kufuatia kula kitu chenye acidity.
Maharage yakilala yana ferment hivyo kutengeneza more acidity state
hivyo ukiyala vimengenyo vya pelipeptaid, peptaid na pepton vyenye kazi
ya kuyeyusha wanga vinatoa acid nyingi ukichanganya na ile ya maharage
matokeo yake ni kiungulia.
Dawa ya kiungulia ni kunywa alcalinine
yoyote au base ili kuineutralize ile acid na kutengeneza chumvi na maji
hivyo kutokuwa na madhara tena.
Dawa ya kawaida sana ni vidonge
vya magnesium tricilicate au actal. Majivu yakichanganyika na maji
yanatengeneza alcaline solution ambayo pia inaneutralize ile acid.
Tatizo la majivu hakuna kipimo sahihi ukizidisha, hata ile acid ya
kawaida ya kusaga chakula inakuwa neutralized hivyo chakula kinashuka
kilivyo.
Usipotafuta suluhisho la kudumu kuicontrol hiyo acid
tumboni kwako, inaweza kumungunya mpaka ngozi laini ta tumboni hivyo
kusababisha vidonda vya tumbo vinaitwa ulcers.
DAWA YA KUTIBU KIUNGULIA
Tafuna magnesium vidonge viwili mara tatu kwa siku tano au,
Changanya glasi moja (250ml) ya maziwa na kijiko kikubwa 10ml) cha mafuta ya habat soda.Kunywa mchanganyiko huu na urudie kutwa mara tatu (1×3) kwa muda wa siku 5. tumia kisha uje unipe feedback
No comments
Post a Comment