hatua hizo ni kama ifatavyo
1.ORAL STAGE
Mtoto anakua katika stage hii anapokuwa na
umri wa,mwezi mmoja hadi mwaka mmoja.
Sasa
kwa kipindi hiki erogenous zone ya mtoto inakua mdomoni, raha ya mtoto inakua
kitu chochote kinachoingia mdomoni ndo maaana kipindi hiki mtoto kila kitu
anachoshika anapeleka mdomoni
Hiki ndo kipindi cha kujenga strong bond
kwa mtoto na mama pale mtoto anapokuwa ananyonya inamjenga kumthamini mama
kuliko mtu yyte
Kipindi hiki inabdi kuwa makini na vitu
kama shanga,sarafu nk ambavyo akiweka mdomoni vnaweza kumkaba
Hapa kama mzazi ana tabia ya kula kucha ndo
kipindi mtoto nae anajifunza na kua hvo anapokua
2.ANAL STAGE
Stage hii inaanza umri wa mwaka 1 hadi
miaka mi 3
Hapa mtoto raha yake ni kitu kinachotoka
kupitia haja kubwa. Kipindi hiki ndo kile mtoto anapenda penda sana kuomba pot
au kukalia pot.
Kipindi hiki ni kizur kumfundsha mtoto matumizi
mazur ya choo (toilet behavior s) anapojisaidia ovyo unajaribu kumwelezea wapi
pa kujisaidia nk.
Ni stage pia ambayo unamfudsha mtoto asiwe
na tabia ya kujinyea anapokua
3.PHALLIC STAGE
Hapa erogenous zone zinakua sehemu za siri.
Kipindi hiki mtoto anaelewa tofaut ya
kimaumbile ya mwanaume na mwanamke
Kipindi hiki mtoto wa kike anamwonea wivu
mama kwa nni anapendwa na baba na,wa kiume anamwonea wivu baba.mtoto anaanza
kufanya vitu anavopendelea kufanya mzaz wa jinsia yake kwa kudhan kua mzaz wa
jinsia tofaut na yake ndo vitu hvyo vnafanya ampende. Unaweza kuta mtoto wa
kiume kama baba anapenda kusoma gazeti nae anapendelea kushika gazet kujaribu
kusoma nk, au wa kike unakuta yuko busy anaigiza kujipodoa kama mama yake nk
Kipindi hiki ni kizuri kumfundisha mtoto
kazi fulani unayopenda akikua afanye
Pia ni lipindi mtoto anasoma na zile tabia
mbaya za wazazi, mfano kama baba anampga mama bas na mtoto wa kiume anajifunza
akikua anakua anawatreat hvo wanawake.ni kipindi cha kuacha au kificha tabia
mbaya za wazazi
Phallic stage inaanzia umri wa miaka mitatu
hadi umri wa,kubarehe
4.Genital stage
Kuanzia balehe hadi kufa
Hapa sasa mtu anakua kimawazo na anaanza
kuapply kwenye maisha yake vitu alivyojifunza kwenye phallic stage

No comments
Post a Comment