Kuhusu Nitric oxide
Kama tunavojua kuta za mishipa damu
inafanya kazi ya kupisha vitu mbalimbali kama gas na majimaji.mbali na hayo
kuta hizi zinatengeneza kemikali hii ya Nitric oxide inayosaidia kufanya misuli
laini inayozunguka mishipa ya damu kurelax hvyo kuimarisha mzunguko wa damu.
Kwenye mwili kuna vichocheo ( enzymes)
znazojulikana kama nitric oxide synthetase ambavyo vinachochea uzalishwaji wa
nitric oxide. Kemikali hii inatengenezwa kwa kuungana kwa nitrogen kutoka
kwenye aina ya fatty acids inayojulikana kama L_arginine na L Citrulline na
kuiunganisha na oxygen hapo ndo inapatikana nitric oxide
Nitric oxide hii ikifika kwenye misuli ya
uume inaingia kwenye seli za misuli laini ya uume na kutengeneza kichocheo kingine
kinachojulikana kama called *guanylyl cyclase* ambayo hii inaenda
kutengeneza kemikali ambayo inasaidia kufanya misuli.laini ya uume kurelax
inayojulikana kama *cyclic guanosine monophosphate (cGMP)*. Hivyo kufanya damu
kuingia kwa wingi kwenye chemba za uume hali inayopelekea uume kusimama na
chemba hzi.zikijaa vzr uume kuwa mgumu.
Kirelax kwa misuli laini ya uume ni kitu
muhimu sana sana ili uume usimamae, kwani damu isipoenda kwa wingi kwenye
chemba za uume hautaweza kusimama au ikienda kiasi utasimama ila.utakua
legelege.
Nitric oxide pia inaweza kutengenezwa na
mwili kutoka kwenye vyakula vyenye nitrites nyingi mfano wa vyakula hivi ni
mboga za majani ambapo ukila bakteria waliopo tumboni wanaosaidia kumengenya
chakula wanabadili hizo nitrites kua
nitric oxides.
KARIBIA dawa zote za tatizo la nguvu za
kiume mfano viagra, na dawa za asili zinakua na viungo vnavyosaidia kuongeza
uzalishwaji wa nitric oxide ili uweze kusimamisha uume na kumudu tendo la ndoa.
Dawa hizi nyingine znaboost moja kwa moja
uzalishwaji wa nitric oxide na nyingine znaupatia mwili virutubisho ambavyo
vinasaidia kuongeza uzalishaji wa Nitric oxide( dawa nyingi za kienyeji
zinaangukia hapa)
Mfano dawa inayotumika sana inayoitwa VIG
POWER inauzwa sh 100,000 ila ukifatilia dawa hii ni mchanganyiko wa mimea
ambayo ina L Arginine fatty acids kwa wingi. Vile vile viagra inaupa mwili L
citrulline kwa wingi hvyo kuboost uzalishwaji wa hii nitric oxide.
Unasumbuliwa na matatizo ya nguvu za kiume? wasiliana nasi +255762167811


No comments