Saturday, 11 March 2017

VIDEO| MIAKA 40+ YA SUKARI IMEANGAMIZA NGUVU KAZI YA MATAIFA

Mnamo mwaka 1977 ulitengenezwa wimbo uliopewa jina "REAL THING" Commercial uliokuwa na kibwagizo cha maneno ya kiingereza yasemayo "I'D LIKE TO BUY THE WORLD A DRINK,THAT DOESNT CAUSE A DISEASE"
Waimbaji waliku wanawake na wanaume kutoka nchi mbali mbali duniani wakionesha muungano,upendo na Afya wakiwa hawana vitambi wakiwa wamebeba chupa za vinywaji mkononi.

Tizama video ya wimbo huo wa mwaka 1977 ilivokua inavipamba vinywaji vya sukari






Hivi karibuni Daktari Bingwa na Mtafiti makini sana hapa duniani Profesa Jeffry Gerber aliamua kutoa Remix ya video ya mwaka 1977 kuonesha jinsi gani tumetengenezewa jamii yenye vitambi,jamii yenye ugumba,jamii yenye kila ina ya mizigo ya magonjwa ya lishe. Unywaji wa vinywaji hivi kwa kupongezana na nyakati za sherehe kwa jamii zetu ni kawaida kutokana na tamaduni tunazo iga kutoka nchi za magharibu.

Remix yake Inasikitisha, Jamii imelewa kila aina ya madawa na sindano /pampu za insulin zikisukuma insulin ikaokoe jahazi la athari ya sukari kwa miaka 40+

No comments

Post a Comment